SOKA LETU:-Yaliyojiri Pichani wakati Taifa Stras Maboresho na Rwanda Jana Januari 22,2015 Jijini Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 23, 2015

SOKA LETU:-Yaliyojiri Pichani wakati Taifa Stras Maboresho na Rwanda Jana Januari 22,2015 Jijini Mwanza.

Kiungo wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars Maboresho, Salum Telela, akitafuta mbinu za kumtoka kiungo wa Rwanda Rusheshangoma Michael Rusheshangonga katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Januari 22,2015,kwenye  Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza , timu hizo zilitoka sare ya bao 1 - 1.

Kiungo wa Taifa Stars, Kevin Friday akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Rwanda wakati wa mchezo huo wa kirafiki wa Kimataifa.

Beki wa Tanzania, Salim Mbonde akipasua katikati ya wachezaji wa Rwanda..BOFYA HAPA KUTAZAMA ZAIDI PICHA
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad