MAISHA YETU:- Usilazimishe Mambo makubwa Kuliko…Baada ya Harusi Mumeo anaaza Kukopa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, January 29, 2015

MAISHA YETU:- Usilazimishe Mambo makubwa Kuliko…Baada ya Harusi Mumeo anaaza Kukopa.

Angalia uwezo wako na mwenzako mnaetaka kuoana nae mnaweza mkafunga ndoa yenu mkaenda beach mkapata picha na vinywaji, mkarudi zile hela za michango ambazo mngelipa ukumbi wa ghari zitawasaidia maana safari ya ndoa ni ndefu na ina mambo mengi usifanye harusi kufuraisha marafiki/mashosti.


Jiangalie wewe na mumeo akikwambia ndoa nyumbani pia usikasirike kwani shida yako ndoa au maonyesho uwe na akili kama uwezo mnao sawa lakini kama mnaunga unga ile michango iwasaidie kuliko ukimaliza harusi mumeo anaanza kukopa maana hana kitu.



UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad