![]() |
|
Rais mpya wa
Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum (Presidential suit) iliyobuniwa na
Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini Tanzania Sheria Ngowi akila
kiapo cha kuwa Rais Mpya wa Zambia katika sherehe za zilizofanyika jana Januari 25,2015, asubuhi
katika viwanja vya National Heroes, mjini Lusaka-Zambia. Guy Scott, of Scottish.
|
![]() |
|
Rais mpya wa
Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum (Presidential suit) iliyobuniwa na
Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini Tanzania Sheria Ngowi akipokea
salaam Maalum Kutoka kwa Rais wa Mpito wa Zambia Guy Scotts Muda mfupi baada ya
kuapishwa katika sherehe za kuapishwa kwake jana asubuhi katika viwanja vya
National Heroes, mjini Lusaka-Zambia.
|











No comments:
Post a Comment