IMANI YETU:-Tazama Taswira ya Wakristo mkoani Kagera walivyoshiriki Ibada ya Hija Januari 25,2015 wilayani Misenyi - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, January 26, 2015

IMANI YETU:-Tazama Taswira ya Wakristo mkoani Kagera walivyoshiriki Ibada ya Hija Januari 25,2015 wilayani Misenyi

Waumini wa dini ya kikirito (RC) kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kagera na Nje ya nchi wameshiriki Missa ya Hija takatifu katika eneo la Kishomberwa,Minziro wilaya ya Missenyi.  Hija hiyo iliongozwa na Askofu mkuu wa jimbo katoriki la Bukoba Desderius Rwoma (Pichani).

Ujumbe mkuu wa siku hiyo ya hija iliyofanyika jumapili ya Januari 25,2015 ni  "tuombe Amani kwa ajili ya Taifa letu"

 Hatahivyo Askofu Rwoma aliwakumbusha waamini kuwa  Yohana Maria Muzeeyi, Shahidi ndiye Mtakatifu Mtanzania wa kwanza kutangazwa rasmi mjini Roma Italy na Baba mtakatifu Paulo VI tarehe 18th October 1964 kati ya mashahidi 21 waliotangazwa wakati huo.


Waumini wa dini ya kikirito (RC) kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kagera na Nje ya nchi wameshiriki Missa ya Hija takatifu katika eneo la Kishomberwa,Minziro wilaya ya Missenyi. Picha/Habari na:-Harakatinews.

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad