LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015:-Mwaka Mpya na Vipigo kwa Chelsea na Arsenal Ligi kuu January 01,2015. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Thursday, January 01, 2015

demo-image

LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015:-Mwaka Mpya na Vipigo kwa Chelsea na Arsenal Ligi kuu January 01,2015.

.com/simgad/
1
Southampton wameiadhibu  Arsenal kwenye mechi ya leo January 1, 2015 ya Ligi kuu Uingereza 2014/2015, kufuatia makosa ya Kipa wao Wojciech Szczesny kwa kushinda Bao 2-0 na kubakia Nafasi ya 4 huku Arsenal ikibaki Nafasi ya 5 Pointi 3 nyuma ya Southampton.

Bao za Southampton zilifungwa na Sadio Mane baada Szczesny kutoka nje ya Goli na jingine na Dusan Tadic aliponasa Mpira uliookolewa na Szczesny kwa Mguu.

Nao Mabingwa Watetezi Manchester City waliongoza 2-0 walipocheza Nyumbani Etihad na Sunderland kwa Bao za Yaya Toure na Stevan Jovetic lakini Jack Rodwell na Penati ya Adam Johnson ilifanya Gemu iwe 2-2.

Hata hivyo, Frank Lampard, ambae Leo hii ameongezewa Mktaba wake wa Mkopo hadi mwishoni mwa Msimu, aliipa ushindi City wa Bao 3-2 na kuwafanya Mabingwa hao waikamate Chelsea kwa Pointi 46 kileleni.

article-2893380-245DB90D00000578-331_964x386
1

2
Chelsea wamecheza baadae Usiku huu Ugenini huko White Hart Lane na Tottenham Hotspur katika Dabi ya Jiji la London na kufungwa bao 5 - 3 na kuwafanya sasa Chelsea na Manchester City kufungana pointi 46 ila Chelsea anapanda hadi nafasi ya kwanza katika msimamo  kwa ubora wa magoli ya kufunga.
245CCC8300000578-2893376-image-a-17_1420127550291
245CA75600000578-2893376-image-a-18_1420127586415
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *