|
Droo ya
kupanga Mechi za Raundi ya 4 ya FA CUP imefanyika Usiku wa Jana January 05,2015 na Cambridge
United, ambayo ndio ipo Daraja la chini kabisa, watakuwa Wenyeji wa Manchester
United.
Timu ya Cambridge
United, ambao waliwahi kufika Robo Fainali ya FA CUP mara mbili Miaka ya 1990
na 1991, wapo Nafasi ya 14 katika Ligi la Daraja la chini, Ligi 2.
Mabingwa
Watetezi, Arsenal, watakuwa Ugenini kucheza na Brighton & Hove Albion
ambayo ipo Daraja la chini ya Ligi Kuu England, Championship.
DROO
KAMILI FA CUP 2014/2015.
** Mechi
za Raundi ya 4 zitachezwa Januari 24 na 25,2015.
Cambridge
United v Manchester United
Chelsea v
Millwall/Bradford City
Southampton/Ipswich
v Crystal Palace
Blackburn
Rovers v Swansea City
Derby v
Scunthorpe/Chesterfield
Preston
North End v Sheffield United
Birmingham
City v West Bromwich Albion
Aston Villa
v Bournemouth
Cardiff City
v Reading
AFC
Wimbledon/Liverpool v Bolton Wanderers
Burnley/Tottenham
Hotspur v Leicester City
Brighton
& Hove Albion v Arsenal
Rochdale v
Stoke City
Sunderland v
Fulham/Wolves
Doncaster/Bristol
City v Everton/West Ham
Manchester
City v Middlesbrough
TAREHE ZA
RAUNDI.
-Raundi
ya 4: 24 Januari
2015
-Raundi
ya 5: 14 Februari
2015
-Raundi
ya 6: 7 Machi 2015
-Nusu
Fainali: 18 & 19
Aprili 2015
-Fainali:
30 Mei 2015
|
Tuesday, January 06, 2015
FA CUP 2014/2015:-Hii ndio Droo ya raundi ya 4 , Isome timu yako inakutana na nani..??
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.





No comments:
Post a Comment