CHAMA CHA ACT-TANZANIA:-Yaliyojiri wakati chama hicho kikifanya Tathimini ya Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, January 12, 2015

CHAMA CHA ACT-TANZANIA:-Yaliyojiri wakati chama hicho kikifanya Tathimini ya Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014.



Wanachama wa ACT wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa  kilichofanyika leo Januari 12,2015 katika Ukumbi wa Hoteli ya Kagame Jijini Dar es Salaam wakipata taarifa ya Chama kwa kipindi cha miezi sita na tathimini ya uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni.


Makamu Mwenyekiti wa ACT-Tanzania ,Bara ,Shabani Mambo Akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika leo Januari 12,2015 katika Ukumbi wa Kagame Jijini Dar es Salaam.


 Aliyekuwa Mwanachama wa TLP ,Ahmad Tao akionyesha kadi mpya uanachama wa ACT katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama  hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa hoteli ya Kagame jijini Dar es Salaam.BOFYA HAPA ZAIDI KUTAZAMA PICHA
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad