SHERIA ZETU:- Hii ndio hukumu ya Hausigeli aliyemtesa Mtoto nchini Uganda. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 15, 2014

SHERIA ZETU:- Hii ndio hukumu ya Hausigeli aliyemtesa Mtoto nchini Uganda.

Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

Mfanyakazi wa ndani ama HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.

Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad