![]() |
|
.......hahahaha waweza
sema … mbona kichekesho? Na kuhisi kama vile limezama kwenye tope.....Hapo ni Muruvyagira
Sekondari ikwenye Ujenzi wa Maabara.
Kwa mujibu
wa Diwani wa Kata ya Kabanga Soud Saidr kupitia
akaunti yake ya Facebook aliandika’’- kwa sie tuliokuwa karibu na hilo roli tuliona
tayari ni ajali lakini Mawe yote yaliteremshwa na gari likarudi chini katika
hali ya Usalama’’.
|
![]() |
UNGANANASI
KATIKA FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|







No comments:
Post a Comment