KUISHI MIKOANI RAHA:-Baada ya Mvua hii ya Dar es Salaam kunyesha Desemba 29,2014..Kipi kingefaa Mtumbwi au Gari..?? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 29, 2014

KUISHI MIKOANI RAHA:-Baada ya Mvua hii ya Dar es Salaam kunyesha Desemba 29,2014..Kipi kingefaa Mtumbwi au Gari..??

Taswira ya Mtaa wa Ohio katikati ya jiji la Dar es Salaam ulivyokuwa umekumbwa na maji.…wakati MVUA kubwa iliyonyesha leo Desemba 29,2014 na kusababisha mafuriko katika mitaa mbalimbali ya Jiji hilo la Dar es Salaam na kuleta usumbufu kwa wakazi wa jiji hilo kama inavyoonekana pichani.







UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad