KIGALI GENOCIDE MEMORIA‬:-Tazama Picha 5 na alichokiandika Diamond Platnumz’’baada ya kutembelea Makumbusho ya Taifa Nchini Rwanda. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, December 31, 2014

KIGALI GENOCIDE MEMORIA‬:-Tazama Picha 5 na alichokiandika Diamond Platnumz’’baada ya kutembelea Makumbusho ya Taifa Nchini Rwanda.


Ndugu zetu (RWANDA) wamepitia mengi ambayo yanahitaji moyo wa ziada kuweza kuvumilia ukihadithiwa na kuonyeshwa baadhi ya video clips na picha... Mwenyez mungu azilaze roho zao mahala pema peponi Amen..AMIN.


Kupitia Ukurasa wake wa Facebook’’ Diamond Platnumz’’ Pichani Ameandika’’,-Leo Desemba 30,2014,Nilipata Bahati ya kutembelea Makumbusho Kuu ya Taifa Nchini Rwanda...Dah! Nimeona na kuadithiwa vitu vingi sana vya kusikitisha...Mwenyez Mungu endelea kuilinda na kuipa Amani na Upendo Mwingi Rwanda, East Africa na Africa yetu kwa Ujumla....

( Today i got an opportunity to visit one of the Biggest Memorial site in Kigali Rwanda... it's so sad.. Dear God please Continue to protect and give our luvly Rwanda & the whole Africa Peace and Love )#‎KIGALI_GENOCIDE_MEMORIA



UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad