![]() |
|
Waziri wa Fedha ,Bi.Saada Mkuya Salum akitoa
hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii
lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.
|
![]() |
|
Baadhi ya wajumbe wa kongamano la Kimataifa la
siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha
akifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
|
UNGANANASI KATIKA FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


.jpg)
.jpg)
.jpg)



No comments:
Post a Comment