SAKATA LA ESCROW:- Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka Akataa Kujiuzulu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, December 18, 2014

SAKATA LA ESCROW:- Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka Akataa Kujiuzulu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, akiongea na wanahabari leo Desemba 18,2014 ,majira ya mchana ndani ya Hyatt Regency Hotel Dar es Salaam ...amesema haoni sababu ya kujiuzulu kutokana na sakata la akaunti ya Escrow.

 Aongeza kuwa watu wanaona suala la kujiuzulu kama fasheni ila yeye hayupo katika fasheni hiyo.


UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad