AJALI YA HELKOPTA:-Picha zake ilivyoanguka na kuharibika vibaya huku watu wane wakipoteza Maisha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, November 29, 2014

AJALI YA HELKOPTA:-Picha zake ilivyoanguka na kuharibika vibaya huku watu wane wakipoteza Maisha.

Baadhi ya Watu wakishuhudia mabaki ya helikopta hiyo iliyopata ajali maeneo ya Kipunguni B Moshi Bar,Ilala jijini Dar es Salaam leo November 29,2014.

 Akizungumza na waandishi wa Habari eneo la tukio,Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam,Suleiman Kova amesema  Helikopta ambayo imedaiwa kuwa ni ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya watu wanne,na kwamba   Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikaa mpaka sasa.
Baadhi ya Wataalamu wakifanya uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo ya Helikopta.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaa,Mh.Sadick Meck Sadick akizungumza mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali, kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad