AJALI:-Taswira ya Picha 2 za jali ya Lori lililoanguka Leo November 19,2014 mpakani mwa Ngara na Biharamulo mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Wednesday, November 19, 2014

demo-image

AJALI:-Taswira ya Picha 2 za jali ya Lori lililoanguka Leo November 19,2014 mpakani mwa Ngara na Biharamulo mkoani Kagera.

.com/simgad/
IMG-20141119-WA0016
Ajali hii imelihusisha Lori la Mizigo lilokua limebeba mzigo wa magunia ya parachichi kutoka mjini Ngara  na kupata ajali eneo la mteremko wa Nyabugombe unaounganisha wilaya ya Ngara na Biharamulo mkoani Kagera leo November 19, 2014.


Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema kuwa hakuna mtu yeyeto aliyepoteza maisha na kwamba huenda ajali hiyo imesababishwa na mwendo kasi na kufeli kwa mfumo wa breki.Picha zote na Mwana wa Makonda Blog +255789925630.

IMG-20141119-WA0015

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *