HARAKATI YA KISIASA:-Picha 5 za Mkutano wa mwisho wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe mkoani Kigoma November 12,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, November 14, 2014

HARAKATI YA KISIASA:-Picha 5 za Mkutano wa mwisho wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe mkoani Kigoma November 12,2014.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Buhingwe katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika  November 12,2014.



Pichani ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwahutubia wananchi wa Kasulu katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika November 12,2014.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe akilakiwa na wanawake wa kijiji cha Mwamugongo mkoani Kigoma, ambako waliwasili November 12,2014, kuhutubia mkutano wa Operesheni Delete CCM.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiondoka katika kijiji cha Buhigwe mkoani Kigoma, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika kijijini hapo November 12,2014.
Pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar), Salumu Mwalimu akiwahutubia wananchi wa mji wa Kasulu mkoani Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM November 12,2014.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad