TAZAMA VIDEO:-Mwanasheria Mkuu Zanzibar alivyopiga kura ya HAPANA. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, October 01, 2014

TAZAMA VIDEO:-Mwanasheria Mkuu Zanzibar alivyopiga kura ya HAPANA.


Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman leo October 01,2014, ameibuka katika Bunge Maalum la Katiba na kupiga kura ya wazi ambapo alipiga kura ya hapana katika baadhi ya Ibara za rasimu ya Katiba. 

 Hali hiyo iliibua maswali kwa baadhi ya wajumbe waliohoji kuibuka kwake leo wakati hakuwepo muda mwingi Bunge hilo lilipokuwa likiendelea.


Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad