SOMA HII MZAZI / MLEZI:- `Wazuieni wahitimu Darasa la Saba kazi ya bodaboda` - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, October 14, 2014

SOMA HII MZAZI / MLEZI:- `Wazuieni wahitimu Darasa la Saba kazi ya bodaboda`


Wazazi wameshauriwa kuwakataza vijana wao waliohitimu darasa la saba kujiepusha na biashara ya bodaboda na badala yake waendelezwe kimasomo ili wafanikiwe kupata elimu ya juu.
Ushauri huo ulitolewa na Mkuu wa Shughuli za Benki ya Wanawake Tanzania, Zabron Yebete jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Yebete alisema vijana wengi wamekuwa wakihitimu darasa la saba na kukimbilia kufanya biashara ya bodaboda badala ya kufikiria kujiendeleza na masomo.

Aliyasema hayo wakati wa mahafali ya Shule ya Msingi Kifulu iliyoko katika Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad