NAJUA WAJUA:-Ajali ni Ajali hata kama Gari lako ni Jipya Kiasi gani.......Tazama Picha hizi hapa Kitu Kipyaaa aina ya HOWO.......'' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 19, 2014

NAJUA WAJUA:-Ajali ni Ajali hata kama Gari lako ni Jipya Kiasi gani.......Tazama Picha hizi hapa Kitu Kipyaaa aina ya HOWO.......''

Ajali hii imetokea  October 18, 2014,majira ya saa 6 mchana wilayani Ngara,Mkoani Kagera katika eneo la mteremko wa K9 na kulihusisha Lori la Mizigo aina ya HOWO namba T 828 CXM lililokua na shehena ya magunia ya Mahindi kufeli mfumo wake wa Breki na kisha kupata Ajali iliyojeruhi Dereva wake.



Picha zote Na:-Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.


Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad