MAENDELEO:-Tazama Picha 4 za Ndege kubwa zaidi ya Abiria duniani yaanza Safari na abiria 480 kwa Kilometer 13,805. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, October 01, 2014

MAENDELEO:-Tazama Picha 4 za Ndege kubwa zaidi ya Abiria duniani yaanza Safari na abiria 480 kwa Kilometer 13,805.


 Shirika la ndege la Australia linalofahamika kama Qantas limeanza kurusha ndege yake ambayo inatajwa kuwa kubwa zaidi ya abiria duniani na inayofanya safari zake kwa umbali mrefu zaidi.

 Ndege hiyo iliyoitwa kama Airbus A380 ilitua katika uwanja wa kimataifa wa Dallas-Fort Worth saa 15 tangu ilipoondoka Sydney, Australia safari ya Kilometer 13,805 ikiwa na abiria 480 .

 Uwanja wa kimataifa wa Dallas- Fort Worth ni uwanja mkubwa wa ndege unaounganisha ndege zote za Marekani na Latin America. Uwanja huo umeonekana kufaa zaidi kwa ndege hiyo.


Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

Habari Na:-Timesfm.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad