MAENDELEO:- Furaha huja pale mafanikio yanapotokea Kama Tabasamu hili kutoka kwa Viongozi wetu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee baada ya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Oktoba 01,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, October 01, 2014

MAENDELEO:- Furaha huja pale mafanikio yanapotokea Kama Tabasamu hili kutoka kwa Viongozi wetu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee baada ya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Oktoba 01,2014.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee  baada ya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo Oktoba 01,2014,katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. 

Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge -Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada  wakikata utepe  kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo Oktoba 01,2014 katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam.

Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe  Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine

Sehemu ya barabara  ya Mwenge-Tegeta yenye urefu wa Km 12.9, ambayo ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad