UHALIFU / PICHA:- Taarifa maalum ya Jeshi la Polisi kuhusiana na mafanikio katika utendaji wao wa kazi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 16, 2014

UHALIFU / PICHA:- Taarifa maalum ya Jeshi la Polisi kuhusiana na mafanikio katika utendaji wao wa kazi.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,  Suleiman Kova  Jana Septemba 15,2014, ametoa taarifa maalum ya Jeshi la Polisi kuhusiana na mafanikio  katika utendaji wao wa kazi.

 Kova ametoa taarifa  ya matukio yaliyojitokeza katika kipindi cha wiki mbili ikiwemo operesheni maalum ya kuzuia kupambana na matishio ya uhalifu jijini Dar es Salaam, mtandao wa uhalifu wanaotumia teknolojia ya mawasiliano (IT).

Kukamatwa kwa majambazi sugu wawili pamoja na SMG, kukamatwa kwa tiketi bandia 424 za mechi ya ngao ya hisani kati ya Yanga na Azam pamoja na  Kupatikana kwa silaha aina ya Pistol na risasi 6.

(Habari/Picha na Gabriel Ng’osha/GPL)
Kamishina Kova akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani). 


Baadhi ya vitu mbalimbali vilivyokamatwa na Jeshi la Polisi.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad