AJALI KAGERA:-Tazama Picha 6 za gari aina ya Toyota Ipsam Likiteketea kwa moto Leo September 15,2014 mkoani Kagera baada ya Kupata Ajali. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 15, 2014

AJALI KAGERA:-Tazama Picha 6 za gari aina ya Toyota Ipsam Likiteketea kwa moto Leo September 15,2014 mkoani Kagera baada ya Kupata Ajali.

Ajali hii imetokea leo Septemba 15,2014 na kulihusisha gari aina ya Toyota Ipsam,katika Barabara ya Kyaka -Omkajunguti mkoani Kagera ambapo kwa mujibu wa Mashuhuda wanadai huenda imesababishwa na Dereva kupitiwa usingizi hivyo kushindwa kulimudu likiwa katika mwendo na kupata ajali kisha kuwaka moto.

Picha Na:-Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.


Baadhi ya mashuhuda wakishuhudia Ajali hiyo iliyohusisha gari aina ya Toyota Ipsam ,katika Barabara ya Kyaka -Omkajunguti mkoani Kagera na kwamba hakuna mtu yeyote aliyepoteza Maisha.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad