UGAIDI BONGO: -Soma hii kuhusu…..AL-SHABAAB Watakavyotumia Uwanja wa Mwanza kuteka Ndege. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 27, 2014

UGAIDI BONGO: -Soma hii kuhusu…..AL-SHABAAB Watakavyotumia Uwanja wa Mwanza kuteka Ndege.


Hatari! Uwanja wa Ndege wa Mwanza si salama na unaweza kutumiwa na magaidi kama Al-Shabaab kuteka ndege na kuua watu  wakati  wowote, Risasi Jumamosi Septemba 27,2014,lina ushahidi mzito.Pichani juu ni Taswira ya uwanja wa Ndege wa Mwanza.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

Jengo la Uwanja wa Ndege wa Mwanza.

Upelelezi wa kina uliofanywa na gazeti hili bila kujulikana katika operesheni maalum iliyopewa jina la ‘HAKIKISHA NCHI SALAMA’, waandishi wetu waliokuwa jijini Mwanza walifanya jaribio la kutaka kuingiza bastola ndani ya ndege na kugundua ni jambo rahisi kuliko ilivyotarajiwa.
KUSOMA ZAIDI STORI HII GONGA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad