UCHUMI WETU:-Njoo wilayani kwetu Ngara mkoani Kagera ...Upate Mahitaji haya kwa Raha zako...'' - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Saturday, September 27, 2014

demo-image

UCHUMI WETU:-Njoo wilayani kwetu Ngara mkoani Kagera ...Upate Mahitaji haya kwa Raha zako...''

.com/simgad/
DSC07189
Unapofika wilaya ya Ngara mkoani Kagera ,suala la kupata mahitaji sokoni hutaangaika sana kwani kuna masoko ya haja kata ya Rulenge,Bugarama,Kabanga,Nyamiaga hasa lile la KOJIFA Mjini Ngara,Murusagamba na Benaco.

DSC07186
Wafanya biashara na Wanunuzi wa Nafaka  katika soko la Rulenge,wilayani  Ngara mkoani Kagera, wakichangamka na Camera yetu Makonda Blog leo Septemba 27,2014 ,pamoja na kusema wanakosa masoko ya uhakika walitaja bei ya Debe moja  la Maharage Sh.16,000/=,Mahindi Sh.9,000/= na Karanga Sh.36,000/=.

DSC07187

DSC07188
Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp call_skype_logo+255789925630.

DSC07185

DSC07184

Picha Na:-Mwanawamakonda/Shabani Ndyamukama-Ngara.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *