UCHUMI WETU:- Tazama Picha 3 za Biashara ya ndizi ilivyoshamiri katika Soko Mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 22, 2014

UCHUMI WETU:- Tazama Picha 3 za Biashara ya ndizi ilivyoshamiri katika Soko Mkoani Kagera.

Wafanya biashara wa Ndizi katika soko la mjini Ngara mkoani Kagera, wamesema kuwa biashara ya Ndizi inawapa faida kubwa sana kwa kuwa watu wengi wamekuwa wakinunua sana bidhaa hiyo katika kipindi hiki na pia walitaja bei ya mikungu ya Ndizi, mkungu mmoja mdogo ni kuanzia sh 5,000/= na mkubwa ni sh 7,000/=  mpaka sh 20,000/=.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.

  Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA


Baadhi ya mikungu ya ndizi ambayo ipo sokoni tayari kwa biashara katika eneo la soko kuu la ndizi manispaa ya Muleba mkoani Kagera.

Picha na Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad