HAKI ZA BINADAMU:-Makampuni 130 ya Vifaa vya Mateso Matatani kwa Kutengeza na kusafirisha vifaa vya mateso. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 23, 2014

HAKI ZA BINADAMU:-Makampuni 130 ya Vifaa vya Mateso Matatani kwa Kutengeza na kusafirisha vifaa vya mateso.


Vifaa vya Mateso.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.

 

  Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

 

Makampuni nchini China yameingia katika shutuma kali kua wanatengeza na kusafirisha vifaa vya mateso kwa vikosi vya polisi duniani.

Shirika la kutetea haki za binaadamu Amnesty International limetoa taarifa kuwa makampuni yapatayo mia moja na thelathini nchini humo,kati yao wamekiri kutengeneza vifaa hivyo ikiwemo vibanio vya umeme,viti vya umeme,na pingu za vidole gumba.

Inasemekana vifaa vingi japo hutengenezwa na kusafirishwa,vingi matumizi yake ni katika kuleta maumivu mwilini na mateso.

Shirika hilo la kutetea haki za binadamu lina shaka na nchi zenye ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu hasa Africa na Kusini Mashariki mwa Asia wao ndio wateja wakuu wa vifaa hivyo.

Habari Na :-BBC Swahili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad