UCHAGUZI MKUU CHADEMA:-Taswira baada ya Matokeo ya Uchaguzi Septemba 14,2014…..Huu hapa Tazama. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 15, 2014

UCHAGUZI MKUU CHADEMA:-Taswira baada ya Matokeo ya Uchaguzi Septemba 14,2014…..Huu hapa Tazama.


Hatimaye Mhe Freeman Aikael Mbowe Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kupata kura 789 sawa na asilimia 97.3 ya kura zote.
Aliyeshinda nafasi ya Makamu mwenyekiti Bara ni Profesa Abdallah Safari kwa kupata kura 775 sawa a asillimia 95 na nafasi ya Makamu mwenyekiti Zanzibar ameshinda Mh Saidi Issa Mohamedi kwa kupata kura 645 sawa na asilimia 79.


Hiki ni kipindi cha tatu kwa Mbowe kupewa ridhaa ya kuongoza chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
MATOKEO YA UCHAGUZI SEPTEMBA 14,2014.

MWENYEKITI TAIFA

Mh Freeman Mbowe amepata kura 789

Mh Gambaranyere Mwangateka amepata kura 20

Zilizoharibika 2

MAKAMU MWENYEKITI BARA

Prof Abdallah Safari amepata kura 775


Kabla ya uchaguzi huo, nafasi hiyo ilikuwa inashikiliwa na Said Arfi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo.

Kura za hapana  34

Zilizoharibika 2

Hakuwa na Mpinzani

MAKAMU  MWENYEKITI ZANZIBAR

Mh Said Issa Mohamed amepata kura 645

Mh Hamad  Yusuph amepata kura 163
Uchaguzi huo umefanyika kwa Amani kabisa.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad