PICHA YETU YA LEO:-…..MV RUVUBU …Ukivuka tu umeingia Mpakani mwa Tanzania na Rwanda eneo la Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 13, 2014

PICHA YETU YA LEO:-…..MV RUVUBU …Ukivuka tu umeingia Mpakani mwa Tanzania na Rwanda eneo la Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera.

Ni muonekano wa maji ya Mto Ruvubu ndani ya  Kivuko cha MV RUVUBU napenda sana kukitumia kuvuka kama naenda mpaka wa Rusumo kutalii au kufatilia mambo mbalimbali yaliyopo,yapo na yajayo hasa ukizingatia ni Mpakani mwa Tanzania na Rwanda.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA




Kivuko hiki cha MV RUVUBU huwa hakina sana watu wengi wanaokitumia kuvuka pengine sababu ya wengi wetu hupenda kupitia Benaco hadi Rusumo lakini ukipitia barabara ya Ngara-Murukulazo ni kwepesi sana kufika kwa Haraka Rusumo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad