1.Anachelewa
kureply,unaona message imesomwa(seen) ila anadai hajaigia facebook.
2.We kila
siku ndo wakumbembeleza,ye wala haumii ukimchunia
3.Mnakuta
nye ni wapenzi,na kukuandikia inbox hawezi kisa we hujajibu yake ya
mwisho,atakuwa online hata wiki 3 anaupdate na hakuulizi kisa hujajireply inbox
yake.
4.Kitu
kidogo ayaaaaaaaa anakimbilia kuachana na kusingizia huna future naye na je
mtawezaje kudumu maisha ya baadaye.
5.Kuna siku
akiamka hakuambii,sweety,hun,bby,mme/mke wangu kama kawaida yake,kumbe ule
upendo ashauhamishia kwa
mwingine na
amejaziwa maneno ya ngono.
6.Status zake
za kimafumbo,unachat naye lovely ila status yake analalamika kuachwa, (kivipi
kama we hujamwacha?)
7.Anajifanya
hampendi mpenzi wake wa zamani na kumponda kwako,ila ukiona anarudia kumtaja
ujue bado ana uhusiano naye.
8.Huwa
ukiangalia picha zake watu wanamwita bby ila yeye hawezi kureply ili
asifumaniwe,aki
reply
atasema "thanks all"nye wapenzi wake mtapeana za uso huko ye hana
habari atasema anashobokewa
9.Simu yake
visingizio kila siku,ooh hakuna chaji wakati iliita ukaona call cancelled
10.Anapenda
zaidi kutumia account fake na inawezekana si jina lake halisi na hata picha
yake haweki.
12.Hata
kupiga sim au sms hatumi,mwanzoni alikuwa anakushobokea mpaka anapromise uzima
wa milele
13.Anakukumbuka
tu siku nanihii zake zimepanda mpaka unashtuka imekwaje leo amenikumbuka.
14.Kila saa
anazungumzia ngono,atakumbuka wapi wakati hana hata future.
15.Kila siku
anajifanya ye amewahi kukutana na kuwa na malengo na masuperstar(ana jifanya wa
viwango).
16.Huwa
hareply anaLIKE tu comment kumbe anaogopa kuwagombanisha wazinzi wenzake
(ila wengine
kweli hata hawajui
kinachoendelea,wakiambiwa
wanapendwa wanapiga tu makofi)
17.Anakublock
tu hujui hata sababu baadaye anasingizia amepanic kwa ajili ameona
comment
flani na anawivu kisa anakupenda (mbona hujafa sasa?)
18.Kuna
walio nchi za ng'ambo,mashauzi kibao eti hajazoea mambo ya bongo,labda anaumia
sana kwa vile amesahau bongo,kuna wengi wanazaidi ya miaka na miaka yeye wa
mwaka kasahau bongo,(ng'ambo yenyewe kaenda kwa msaada wa kijiji baada ya kulia
lia sana)
|
No comments:
Post a Comment