LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Yaliyojiri mchezo wa Simba SC na Coastal Uinion September 21,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 21, 2014

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Yaliyojiri mchezo wa Simba SC na Coastal Uinion September 21,2014.

Kiungo wa Simba SC, Ramadhani SIngano 'Messi' katikati ya wachezaji wa Coastal, Sabri Rashid kulia na Ayoub Yahya katika mchezo wa leo Septemba 21.2014.

Ligi kuu soka VODACOM Tanzania bara msimu wa 2014/2015, umeendelea Leo hii Septemba 21,2014, Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam na Wenyeji Simba SC, walioongoza 2-0 hadi Haftaimu, kutoka Sare ya Bao 2-2 na ‘Wapwa’ zao toka Tanga Coastal Union.

Bao za Simba SC zilifungwa na Kisiga, Dakika ya 4, na Amisi Tambwe, Dakika ya 36, huku Yayo Lutimba akiipa Coastal Union Bao la kwanza katika Dakika ya 67 na Rama Salim kuisawazishia Coastal katika Dakika ya 84.

Bao la kwanza la Simba SC; Shaaban Kisiga akishangilia na Ramadhani Singano 'Messi' kushoto baada ya kufunga bao la kuongoza.

Amisi Tambwe akimtoka beki wa Coastal, Mbwana Hamisi 'Kibacha'

Amis Tambwe akishangilia baada ya kufunga bao la pili

Emmanuel Okwi akimkimbiza beki wa Coastal, Sabri Rashid,ambapo Uhuru Suleiman alikosa bao la wazi dakika ya 78 baada ya kutanguliziwa pasi nzuri na Okwi, lakini akiwa amebaki na kipa Kado, akapiga juu.

LIGI KUU VODACOM 2014/2015- RATIBA

Septemba 27,2014.

Simba v Polisi Moro [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]

Mtibwa Sugar v Ndanda FC [Manungu, Morogoro]

Azam FC v Ruvu Shooting [Azam Complex, Dar es Salaam]

Mbeya City v Coastal Union [Sokoine, Mbeya]

Mgambo JKT v Stand United [Mkwakwani, Tanga]

Septemba 28,2014.

JKT Ruvu v Kagera Sugar [Azam Complex, Dar es Salaam]

Yanga v Prisons [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]


Septemba 20,2014.

Azam FC 3 – 1 Polisi Moro

Mtibwa Sugar 2 -  0 Yanga

Stand United 1 – 4 Ndanda FC

Mgambo JKT 1 – 0  Kagera Sugar

Ruvu Shooting 0  - 2 Tanzania Prisons

Mbeya City 0 – 0 JKT Ruvu
 

MSIMAMO VPL 2014/2015.

NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Ndanda FC
1
1
0
0
4
1
3
3
2
Azam FC
1
1
0
0
3
1
2
3
3
Mtibwa Sugar
1
1
0
0
2
0
2
3
4
Tanzania Prisons
1
1
0
0
2
0
2
3
5
Mgambo JKT
1
1
0
0
1
0
1
3
6
Coastal Union
1
0
1
0
2
2
0
1
7
Simba
1
0
1
0
2
2
0
1
8
Mbeya City
1
0
1
0
0
0
0
1
9
JKT Ruvu
1
0
1
0
0
0
0
1
10
Kagera Sugar
1
0
0
1
0
1
-1
0
11
Polisi Moro
1
0
0
1
1
3
-2
0
12
Yanga
1
0
0
1
0
2
-2
0
13
Ruvu Shooting
1
0
0
1
0
2
-2
0
14
Stand United
1
0
0
1
1
4
-3
0

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.

 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad