LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015:-Manchester United na ushindi wa kwanza wa 4-0 QPR - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 14, 2014

LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015:-Manchester United na ushindi wa kwanza wa 4-0 QPR


 Mpira uliopigwa na Angel di Maria ukijaa nyavuni na kuifanya Manchester United kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya QPR dakika ya 24’’kwenye mchezo wa Ligi kuu soka Uingereza jioni ya leo Septemba 14,2014.
Manchester United wameibuka na ushindi mnono wa  mabao 4-0 dhidi ya QPR katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza iliyochezwa jioni ya leo Septemba 14,2014 kwenye Uwanja wa Old Trafford, jijini Manchester. 

Mabao ya Man United yamefungwa na Angel di Maria dakika ya 24, Ander Herrera dakika ya 36, Wayne Rooney dakika ya 44 na Juan Mata katika dakika ya 58 ya mchezo huo.

Manchester United wakishangilia bao lao la tatu lililofungwa na nahodha wao Wayne Rooney.

Matokeo hayo yamewafanya Manchester United kupata ushindi wao wa kwanza baada ya Mechi 3 za Ligi Kuu na kufikisha pointi 5 katika msimamo wa Ligi.

Pos.TeamPGDPts
1 4912
2 4310
3 439
4 457
5 437
6 427
7 416
8 416
9 435
10 4-15
11 4-15
12 304
13 4-14
14 4-13
15 3-13
16 4-83
17 4-32
18 4-32
19 4-52
20 4-62

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad