LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015:-Hiki ndicho Welbeck na Ozil wakifanya Arsenal ikiua 3-0 pamoja na Matokeo mengine ya Mechi za Septemba 20,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 20, 2014

LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015:-Hiki ndicho Welbeck na Ozil wakifanya Arsenal ikiua 3-0 pamoja na Matokeo mengine ya Mechi za Septemba 20,2014.

Arsenal imeng’ara katika Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa ugenini wa mabao 3-0 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Villa Park jioni ya leo Septemba 20,2014.

Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo Mesuti Ozil dakika ya 32 pasi ya Danny Welbeck, aloyefunga mwenyewe bao la pili dakika ya 34 pasi ya Ozil, wakati bao la tatu Cissokho alijifunga dakika ya 36.

RATIBA/MATOKEO EPL 2014/2015.

Jumamosi Septemba 20,2014.

QPR 2 – 2 Stoke 

Aston Villa 0 – 3 Arsenal 

Burnley 0 – 0 Sunderland 

Newcastle 2 – 2 Hull 

Swansea 0 – 1  Southampton 

West Ham 3 – 1  Liverpool

As It Stands Tables EPL 2014/2015.

Pos.TeamPGDPts
1 4912
2 5610
3 5010
4 549
5 529
6 437
7 427
8 507
9 506
10 506
11 435
12 4-15
13 4-15
14 5-15
15 5-14
16 5-84
17 5-33
18 5-63
19 4-32
20 4-52
Jumapili Septemba 21,2014.

1530 Leicester v Man United

1530 Tottenham v West Brom

1800 Everton v Crystal Palace

1800 Man City v Chelsea

 UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad