LA LIGA 2014/2015:- Ronaldo akipiga Bao 3 Real Madrid ikiikung’unta Deportivo 8-2 na Hetitriki yake katika Historia kwenye Ligi hiyo Spain. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 20, 2014

LA LIGA 2014/2015:- Ronaldo akipiga Bao 3 Real Madrid ikiikung’unta Deportivo 8-2 na Hetitriki yake katika Historia kwenye Ligi hiyo Spain.

Real Madrid imeifumua Deportivo la Coruna mabao 8-2 katika La Liga Uwanja wa Riazor jioni ya leo Septemba 20,2014, Na mchezaji  Cristiano Ronaldo akipiga hat-trick yake ya 23 kwa Los Blancos.

Ronaldo alifunga mabao yake katika dakika za 29, 41 na 78, wakati mabao mengineya Real yamefungwa na James Rodriguez dakika ya 36, Gareth Bale dakika ya 66 na 74 na Javier Hernandez ‘Chichairto’ dakika ya 88 na 90.
Deportivo ilipata mabao yake ya kufutia machozi kupitia kwa Haris Medunjanin na Jose Verdu Nicolas. 

Hetitriki ya Cristiano Ronaldo kwenye La Liga na imemfanya awe wa 3 nyuma ya Malejendar Telmo Zarra na Alfredo Di Stefano katika kupiga Hetitriki katika Historia kwenye Ligi hiyo Spain.

Jumamosi Septemba 20 ,2014.

Deportivo La Coruna 2 – 8  Real Madrid CF 

Athletic de Bilbao 0 – 1  Granada CF

2100 Atletico de Madrid v Celta de Vigo

2300 RCD Espanyol v Malaga CF

Jumapili Septemba 21,2014. 

1300 Real Sociedad v UD Almeria

1800 Villarreal CF v Rayo Vallecano

2000 Cordoba v Sevilla FC

2200 Levante v FC Barcelona

Jumatatu Septemba 22 ,2014.

2145 Getafe CF v Valencia
 UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad