KUJIUZULU KWA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR:-Soma kilichokanushwa na Balozi Sief Ali Idd dhidi ya Gazeti la Mtanzania la Septemba 24,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, September 26, 2014

KUJIUZULU KWA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR:-Soma kilichokanushwa na Balozi Sief Ali Idd dhidi ya Gazeti la Mtanzania la Septemba 24,2014.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akikanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Jumatano 24 Septemba, 2014.


Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud akichangia mada wakati wa mkutano na waandishi wa habari Gazeti hilo.


Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakifutailia kwa makini taarifa toka Balozi Seif Ali Idd.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd amekanusha madai mbalimbali yaliyotolewa na Gazeti la Mtanzania la Jumatano 24 Septemba, 2014 ambalo liliandika kuwa ‘Siri zavuja za AG Zanzibar kujiuzulu’.

Akikanush taarifa hizo, Mhe. Balozi Idd amesema kuwa Mhe. Othman alitakiwa ashiriki katika kamati kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa upande wa Zanzibar lakini kutokuwepo kwake katika Kamati sio kikwazo cha kupatikana kwa Katiba, kwani waliokuwepo ndani ya kamati kwa upande wa Zanzibar walitosheleza kuiwakilisha Zanzibar kikamilifu.


 (Picha zote na Benedict Liwenga- Maelezo-Dodoma)


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.

   Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad