HII KALI:-Cheki Mtoto alivyovunja Protoko ya Jeshi alipomkimbilia Mama Yake Mwanajeshi akiwa kwenye Paredi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 20, 2014

HII KALI:-Cheki Mtoto alivyovunja Protoko ya Jeshi alipomkimbilia Mama Yake Mwanajeshi akiwa kwenye Paredi.

Hali ya hisia kali ilikumba hadhira iliyokwenda kuwapokea wanajeshi wa Marekani waliotoka Afghanistan baada ya kutumikia jeshi wakiwa huko kwa miezi tisa kabla ya kuungana na familia zao.

 Wakati wanajeshi hao wakipokea amri ya jeshi kabla ya kuruhusiwa kukutana na familia zao mtoto wa miaka mitatu Cooper Waldvogel uvumilivu ulimshinda na kukatiza kumkimbilia.

Bila ya kujali protokali mtoto huyo aliwaponyoka watu waliokuwepo na kukimbilia moja kwa moja mikononi mwa mama yake na kumkubatia kwa hisia kali.
 
 UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad