FAHAMU HII:- Tazama Picha_Kuhusu Daraja refu kuliko Madaraja yote yapitayo juu ya Maji Duniani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 30, 2014

FAHAMU HII:- Tazama Picha_Kuhusu Daraja refu kuliko Madaraja yote yapitayo juu ya Maji Duniani.

Daraja la Akashi- Kaiyo lililopo Japan ndilo daraja refu na pana kuliko madaraja yote duniani yanayopita juu ya maji.

 Daraja hilo lina urefu wa mita 1,991 juu na lilijengwa kwa muda wa miaka 10, ambapo lilimalizika mwaka 1998.

Daraja hilo linaunganisha jiji la Kobe liliko bara na Iwaya iliyoko katika kisiwa cha Awaji. Daraja hili linajulikana pia kama ‘Pearl Bridge’.
Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad