MAADILI:-Hivi hakuna jinsi nyingine ya uchezaji pasipo kuonyesha undani wa maumbile yetu? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 30, 2014

MAADILI:-Hivi hakuna jinsi nyingine ya uchezaji pasipo kuonyesha undani wa maumbile yetu?

Hakika hii staili ya uchezaji ya Msanii wa Bongo Fleva nchini-Recho kwenye tamasha la FIESTA 2014 akiwa jukwaani inahamasisha nini jamiii inayomtazama ???...Haifai kabisa.


 ... Kuonesha mapaja na kuwa uchi hakuna tofauti yoyote, kujianika hadharani namna hii kwa mamia ya watu, heshima itatoka wapi tena? Ukikutana na kijana mdogo akakukumbusha ya jana? Utakasirika na kukimbilia ??

Hivi hakuna jinsi nyingine ya uchezaji pasipo kuonyesha undani wa maumbile yetu? Au ndo tunatumiwa pasipokujua? Eti kwa ajili ya visenti kiduchu? Haya nawaachieni nyie!
Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad