![]() |
Ajali hii imetokea Jana
Septemba 23,2014,Majira ya Jioni katika maeneo ya Nyabugombe wilayani
Biharamulo mkoani Kagera , na kulihusisha gari aina ya semi-trailer likiwa
limebeba Container lilianguka na kuziba barabara yote na hivyo kuleta Usumbufu
kwa Watumiaji wa Barabara hiyo ya Nyakahura - Rusumo.
Chanzo cha Ajali hiyo
inaelezwa ni kufeli kwa mfumo breki na hakuna mtu aliekufa ,zaidi ya mtu mmoja
kujeruhiwa.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
|
![]() |
Aidha wasafiri na magari
mengine yalikaa zaidi ya saa Moja wakitafuta ufumbuzi wa kupita hadi pale Lori
lingine lilipolivuta Container ili kulitoa barabarani na kisha kupitika.
|
![]() |
Picha Na:-Mwanawamakonda
WhatsApp +255789925630!
|
No comments:
Post a Comment