KATIBA TANZANIA:- Tazama Picha 2 za Mh. Chenge alivyowasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Kabita. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 23, 2014

KATIBA TANZANIA:- Tazama Picha 2 za Mh. Chenge alivyowasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Kabita.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo . Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni kesho Septemba 24,2014. Picha na Owen Mwandumbya.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.


  Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad