AJALI NYINGINE KIBONDO:-Sijui rumbesa ya Makopa imelizidia Fuso hili na kula mweleka..?? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, September 12, 2014

AJALI NYINGINE KIBONDO:-Sijui rumbesa ya Makopa imelizidia Fuso hili na kula mweleka..??


Hii ni  ajali ya Lori  aina ya Fusso lenye namba za usajili T 350 AGH likiwa limekula mweleka Eneo la Kanyamaela wakati likitokea kijiji cha Kumuhasha kwenda Kibondo mjini. 

 Hakuna majeruhi yeyeto aliyeripotiwa na fusso hilo wakati linapata Ajali lilikuwa limebeba shehena ya Makopa.
Picha zote na:-Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad