AJALI NYINGINE SINGIDA:-Yadaiwa Mtu mmoja amepoteza Uhai. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, September 12, 2014

AJALI NYINGINE SINGIDA:-Yadaiwa Mtu mmoja amepoteza Uhai.


Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma Jana Septemba 11,2014. Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa.

Picha na:-Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad