|
Mwenyekiti
wa UWT Mkoa wa Mwanza,Bi.Helen Bugohe-akiwa kata ya Nyakisasa wilayani Ngara
mkoani Kagera wakati wa ziara yao hivi karibuni mkoani Kagera kuhamasisha Maendeleo.
|
|
Pia Wanawake
walihimizwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali pamoja na kujiandikisha
kupiga kura ili kuchagua viongozi bora wawatakao wa kuwaletea maendeleo.
|
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0789-925-630.





No comments:
Post a Comment