Unapoingia wilaya
ya Ngara mkoani Kagera si kitu cha ajabu kukutana na milima na mabonde ya namna
hii huku pia barabara nazo zikikatiza kurahisisha usafiri kwa watumiaji
waendako.
|
Hapa ni Milima ya Nyabugombe inayotenganisha wilaya ya Biharamulo na wilaya
ya Ngara mkoani Kagera ambapo pembezoni mwa milima hiyo kuna bonde na imepita barabara ya Lami ya Lusahunga hadi Rusumo.
|
Haya ni
Maporomoko ya kwisumo yaliyopo Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera.Picha Na:-Mdau Soud Said-Kabanga.
|
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
No comments:
Post a Comment