UJUZI NJE YA UWANJA:-Cheki Mwenyewe Pichani Kocha wa Liverpool na Southampton walivyoonyesha Maufundi yao nje ya Mchezo Agosti 17,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 19, 2014

UJUZI NJE YA UWANJA:-Cheki Mwenyewe Pichani Kocha wa Liverpool na Southampton walivyoonyesha Maufundi yao nje ya Mchezo Agosti 17,2014.

Hawa ni Makocha waliowahi kucheza Mpira wa ushindani uwanjani na hapa kama ambavyo wanaonekana na utalamu wao wakati timu zao zilipokutana Agosti 17,2014 katika mchezo wa Ligii kuu soka Uingereza 2014/2015 pale kocha wa Liverpool BRENDAN RODGERS na mwenzake wa Southampton  RONALD KOEMAN ambao walikuwa wakitoa burudani kwa Mashabiki waliohudhuria mchezo kwa kuiwahi mipira iliyotoka nje na 'KUKONTROO', Halafu wanairudisha uwanjani.

 Liverpool ilishinda kwa mabao 2-1 katika mechi yake hiyo ya kwanza ya Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2014/2015 dhidi ya  Southampton.

Kocha wa Southampton  RONALD KOEMAN na Utalamu wake wa kucheza na Mpira.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA


BPL-LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015.

RATIBA.

**Saa za Bongo

Jumamosi Agosti 23,2014.

1445 Aston Villa v Newcastle

1700 Chelsea v Leicester

1700 Crystal Palace v West Ham

1700 Southampton v West Brom

1700 Swansea v Burnley

1930 Everton v Arsenal

Jumapili Agosti 24,2014.

1530 Hull v Stoke

1530 Tottenham v QPR

1800 Sunderland v Man United

Jumatatu Agosti 25,2014.

2200 Man City v Liverpool

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad