LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015:-Huu ndio Msimamo wa Ligi baada ya Chelsea kushinda 3-1 dhidi ya Burnley Agosti 18,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 19, 2014

LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015:-Huu ndio Msimamo wa Ligi baada ya Chelsea kushinda 3-1 dhidi ya Burnley Agosti 18,2014.

Chelsea imeanza kampeni yao ya Ligi Kuu Uingereza hapo jana Agosti 18,2014,usiku  kwa ushindi wa Ugenini huko Turf Moor dhidi ya Timu iliyopanda Daraja Burnley ambayo wameifunga Bao 3-1.

Bao zote za Mechi hiyo zilifungwa Kipindi Cha Kwanza lakini ni Burnley ndio walitangulia kufunga kwa Bao la Scott Arfield la Dakika ya 14 na Diego Costa, akicheza Mechi yake ya kwanza ya Ligi, kusawazisha Dakika ya 17.

Bao la Pili la Chelsea lilifungwa na Andre Schurrle Dakika ya 21 na Branislav Ivaovic kupiga Bao la 3 Dakika ya 34.





VIKOSI.

BURNLEY (4-4-2): Heaton, Trippier, Shackell, Duff, Mee, Arfield, Jones, Marney, Taylor, Ings, Jutkiewicz. 

Akiba: Gilks, Dummigan, Long, Wallace, Kightly, Sordell, Barnes.

CHELSEA (4-2-3-1): Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas, Matic, Schurrle, Oscar, Hazard, Diego Costa. 

Akiba: Cech, Zouma, Filipe Luis, Mikel, Willian, Torres, Drogba.

BPL-LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015.

RATIBA.

**Saa za Bongo.

Jumamosi Agosti 23,2014.

1445 Aston Villa v Newcastle

1700 Chelsea v Leicester

1700 Crystal Palace v West Ham

1700 Southampton v West Brom

1700 Swansea v Burnley

1930 Everton v Arsenal

Jumapili Agosti 24,2014.

1530 Hull v Stoke

1530 Tottenham v QPR

1800 Sunderland v Man United

Jumatatu Agosti 25,2014.

2200 Man City v Liverpool


As It Stands Table EPL 2014/2015.


Position Team Played Goal Difference Points
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
No Movement 1 Chelsea 1 2 3
No Movement 2 Man City 1 2 3
No Movement 3 Arsenal 1 1 3
No Movement 4 Liverpool 1 1 3
No Movement 5 Swansea 1 1 3
No Movement 6 Aston Villa 1 1 3
No Movement 7 Hull 1 1 3
No Movement 8 Tottenham 1 1 3
No Movement 9 Everton 1 0 1
No Movement 10 Leicester 1 0 1
No Movement 11 Sunderland 1 0 1
No Movement 12 West Brom 1 0 1
No Movement 13 Crystal Palace 1 -1 0
No Movement 14 Man Utd 1 -1 0
No Movement 15 Southampton 1 -1 0
No Movement 16 QPR 1 -1 0
No Movement 17 Stoke 1 -1 0
No Movement 18 West Ham 1 -1 0
No Movement 19 Burnley 1 -2 0
No Movement 20 Newcastle 1 -2 0

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad