SUPER CUP YA UJERUMANI :-Borussia Dortmund waitandika Bayern Munich 2-0 na Kutwaa Kombe hilo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 14, 2014

SUPER CUP YA UJERUMANI :-Borussia Dortmund waitandika Bayern Munich 2-0 na Kutwaa Kombe hilo.


Wachezaji wa Timu ya Borussia Dortmund wakiwa na taji lao la Super Cup ya Ujerumani, baada ya kuifunga Bayern Munich mabao 2-0 jioni ya jana Agosti 13,2014, wafungaji wa bao hizo ni Hendrikh Mkhitaryan dakika ya 23 na Pierre- Emerick Aubameyang dakika ya 62.





UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad