NG’OMBE MWENYE KILO 1000:-Yaliyojiri wakati Waziri mkuu wa Tanzania Mh.Pinda akifungua Mashindano ya Mifugo Mkoani Dodoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 07, 2014

NG’OMBE MWENYE KILO 1000:-Yaliyojiri wakati Waziri mkuu wa Tanzania Mh.Pinda akifungua Mashindano ya Mifugo Mkoani Dodoma.

Ngombe mwenye kilo 1000 kutoka Mafinga Iringa akipita mbele ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mashindano ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Nzuguni wa Nanenane mjini Dodoma August 6, 2014.

Ngombe wakiwa wamejipanga katika maonyesho ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Nanenane wa Nzuguni uliopo Dodoma August 6, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mapishi ya pilau la kuku ya Mama Irene mamuya (kulia) wa Chako ni Chako Dodoma katika maonyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma August 6, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kukagua banda la Wizarahiyo katika monyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad