MAZINGIRA YETU:-Tazama Picha 6 za shamba la Migomba na Mihogo lilivyoathiriwa na uchomaji moto Mazingira Kijiji cha Rwinyana. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 06, 2014

MAZINGIRA YETU:-Tazama Picha 6 za shamba la Migomba na Mihogo lilivyoathiriwa na uchomaji moto Mazingira Kijiji cha Rwinyana.


Ni muonekano wa athari ya uchomaji moto mazingira wilayani Ngara,mkoani Kagera na hivi ndivyo ulivyoathiri shamba la Migomba la Mdau Shaaban Ndyamukama,Bonifasi Shuli na Silvani Bilegeya huko Kijiji cha Rwinyana,Kata ya Bugarama ambapo wachomaji moto wasiojulikana walichoma migomba na mihogo kama picha inavyojionesha.

 



Mpaka sasa hakuna watu wanaokamatwa kuhusika na matukio hayo ya uchomaji moto Misitu,Mapori na Mashamba ya watu.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad