KERO YA MAJI KAGERA:-Tazama picha Wananchi wa Wilaya za Chato,Biharamulo na Ngara wanavyosota Kutafuta Maji Safi na Salaama ili Maisha yaende..'' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 06, 2014

KERO YA MAJI KAGERA:-Tazama picha Wananchi wa Wilaya za Chato,Biharamulo na Ngara wanavyosota Kutafuta Maji Safi na Salaama ili Maisha yaende..''


Uhaba wa maji safi na salama wilayani Biharamulo,unasababisha wakazi wake kutumia maji ambayo si safi  ambapo hawa ni wakazi wa Nyantakara ,kata ya Nyakahura walikutwa na camera yetu wakitumia maji hayo kuoga ,kufua na shughuli nyinginezo.

Hawa nao walikutwa na camera yetu wakichota maji haya kwa ajili ya kwenda kuyatumia katika shughuli za ujenzi.


Katika kijiji cha Majengo ,kata ya Muganza wilayani Chako,mkoani Geita wakazi wake wakipata shida ya maji kama wanavyoonekana….inadaiwa ni vijiji vitatu vya Muganza,Majengo na Kateme hukusanyika kuchota maji katika visima vya asili vilivyopo katika kata ya Muganza.




Hapa ni Mjini Ngara eneo la Nakatunga ambapo hakuoneshi dalili yeyeto ya Maji kama yatapatikana bombani licha ya Wananchi kupanga foleni ya vyombo vyao.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad